WATANZANIA TUSIDANGANYIKE SERA YA SERIKALI YA MAJIMBO YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA TUNDU LISSU ITALIANGAMIZA TAIFA
Nimemsikia mgombea urais wa CHADEMA akinadi moja ya Sera yake ni kuanzisha mfumo wa Serikali za majimbo Ili tuwe na haki ya kumuunga mkono au kumpinga LISSU ni vyema tukajielimisha fasili ya Serikali za majimbo na sababu zilizosababisha baadhi ya mataifa kuanzisha sera hiyo. Kimsingi kuna mifumo mikuu miwili inayotumika kuongoza Serikali Duniani kwa kimombo zinaitwa Unitary government na Federal government. Katika mifumo hiyo miwili, tujikite kujadili mfumo wa Federal government ambao huzaa Sera ya Serikali ya majimbo inayoaahidiwa na LISSU. Kwa mujibu wa taasisi ya International Institute for Democracy and Electoral Assistance (IDEA) Federalism is a Constituonal mechanism for dividing power between different levels of government so that the federal units can enjoy Substantial, Constitutionally guaranteed autonomy over certain Policy area while sharing power in accordance with agreed rules over other areas Kwa tafsiri isiyo rasmi, Federalism: ni mfumo wa kikatiba wa kugawa mamlak