LISSU APOTOSHA WANANCHI KUHUSU UWANJA WA NDEGE WA MPANDA- MKOANI KATAVI
Tundu Lissu kama ameishiwa sera ni bora akae kimya kuliko kuongea uongo na upotoshaji pindi anapoomba kura kwa wananchi katika kampeni zake.
Leo akiwa katika kampeni zake Makambako Mkoani Njombe amewaeleza wananchi kuwa uwanja wa ndege wa Mpanda kwa sasa haufanyi kazi kwamba ulijengwa kwasababu Mizengo Pinda alikuwa Waziri Mkuu kuwa Sasa siyo Waziri Mkuu anaishi Zuzu Dodoma, Uwanja wa Ndege wa Mpanda watu wanalishia Mbuzi na Ng'ombe, jambo ambalo siyo kweli.
Ukweli ni kwamba mpaka sasa ndege za Air Tanzania zinafanya safari za kwenda mpanda, ushahidi huo hapo chini, unaoonesha kuwa kesho Tarehe 15/09/2020
Air Tanzania inaenda MPANDA na SEATS zimebaki 5 tu, hata Lissu anaweza kuziwahi kama unataka kwenda.

Watanzania tuwe makini na huyu Lissu na maneno anayoyatoa kwenye kampeni zake katika maeneo yenu, tuyatafakari na kuyatahimini kwani mtu ambaye analopoka mambo amabayo hayajui kiundani. NI MUONGO MPOTOSHAJI, HANA SERA.
Tuendelee kuunga mkono Rais Magufuli ili tuendelee kupata maendeleo
Maoni
Chapisha Maoni